Karibu
Wizara ina jukumu la kusimamia na kuendeleza mifugo kwa ujumla na rasilimali za Uvuvi kwa ajili ya kufikia Malengo ya Milenia, mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini, kuboresha maisha ya jamii zinazotegemea mifugo na uvuvi...... Soma zaidi
-
14
Jul
2024SERIKALI KUBORESHA MINADA NCHINI
Wizara ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi imejipanga kuboresha miundombinu ya Minada iliyopo nchini ili iweze kukidhi mahitaji ya watumiaji hasa katika sehemu za uzio, vyoo, maji, taa pamoja na mifumo ya malipo. Soma zaidi
-
08
Jul
2024ULEGA ASHIRIKI KILELE CHA MKUTANO WA UVUVI MDOGO JIJINI ROMA, ITALIA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega yupo nchini Italia kushiriki kilele cha Mkutano wa Uvuvi Mdogo Duniani. Soma zaidi
-
04
Jul
2024ULEGA-HUU NI MWAKA WA MATOKEO
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ameitaka menejimenti ya wizara kuhakikisha katika mwaka wa fedha 2024/25 kila mmoja katika nafasi yake anawajibika ipasavyo ili utekelezaji wa miradi uwe na matokeo ya kupigiwa mfano. Soma zaidi
-
13
Aug
2018Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki atapokea na kuzindua Mizani itayayotumika kwenye minada ya mifugo kwa ajili hapa nchini.
Mahali:Dar es Salaam
Soma zaidi -
22
Jan
2018Utiaji saini makubaliano baina ya Chama cha Ushirika wa Wavuvi – BUKASIGA kilichopo Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza na Sokoine University
Mahali:Mwanza
Soma zaidi