Karibu
Wizara ina jukumu la kusimamia na kuendeleza mifugo kwa ujumla na rasilimali za Uvuvi kwa ajili ya kufikia Malengo ya Milenia, mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini, kuboresha maisha ya jamii zinazotegemea mifugo na uvuvi...... Soma zaidi
-
23
Dec
2024NI LAZIMA TULINDE RASILIMALI ZETU ZA UVUVI KWA WIVU MKUBWA- DKT. KIJAJI
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), ametoa wito kwa Watanzania, hususan wale wanaojihusisha na shughuli za uvuvi kulinda rasilimali hizo za asili ili kuwahakikishia wananchi kukuza uchumi wao kwa misingi endelevu na kuwahakikishia upatikanaji wa malighafi (samaki). Soma zaidi
-
22
Dec
2024DKT. MHEDE APONGEZA HIYARI YA UPUMZISHAJI ZIWA IKIMBA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Edwin Mhede amewapongeza wavuvi wanaofanya shughuli zao kwenye Ziwa Ikimba kwa uamuzi wao wa kufunga shughuli za Uvuvi wa ziwa hilo kwa hiyari. Soma zaidi
-
21
Dec
2024DKT. MHEDE ANADI UFUGAJI SAMAKI KWA NJIA YA VIZIMBA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Edwin Mhede ameendelea kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa njia ya Vizimba kwa wanachi wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Soma zaidi
-
13
Aug
2018Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki atapokea na kuzindua Mizani itayayotumika kwenye minada ya mifugo kwa ajili hapa nchini.
Mahali:Dar es Salaam
Soma zaidi -
22
Jan
2018Utiaji saini makubaliano baina ya Chama cha Ushirika wa Wavuvi – BUKASIGA kilichopo Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza na Sokoine University
Mahali:Mwanza
Soma zaidi