Karibu
Wizara
ina jukumu la kusimamia na kuendeleza mifugo kwa ujumla na rasilimali za Uvuvi
kwa ajili ya kufikia Malengo ya Milenia, mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na
kupunguza umaskini, kuboresha maisha ya jamii zinazotegemea mifugo na uvuvi,
usalama wa chakula bila kuathiri ustawi wa Wanyama na uhifadhi wa mazingira,
kujenga na kusaidia uwezo wa kiufundi na kitaaluma kwa Mamlaka za Serikali za
Mitaa na Sekta Binafsi ili kuendeleza, kusimamia na kudhibiti uendelevu wa
rasilimali za mifugo na uvuvi.
.