Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Mkataba wa Huduma kwa Wateja
Mkataba huu wa Huduma kwa Mteja unakusudia kuwawezesha wateja kuelewa majukumu yetu pamoja na huduma tuzitoazo.Aidha, Mkataba huu unabainisha haki na wajibu wa mteja na taratibu za kudai haki hizo kupata mrejesho pamoja na kutafuta suluhisho pale itakapohitajika.