Habari

  • MHEDE AAHIDI USHIRIKIANO WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

    April 23, 2024

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Edwin Mhede amehadi ushirikiano kwa watendaji wenzake wa Wizara hiyo.

  • MFUGAJI WA MFANO TANGA AWEZESHWA MALISHO YA KISASA

    April 08, 2024

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa upande wa sekta ya Mifugo imemuwezesha mfugaji wa mfano jijini Tanga Bi Mariam Shekue kilo 250 za malisho ya mifugo aina ya Nepia iliyoboresha maarufu kama Juncao tukio lililofanyika Aprili 7, 2024 mkoani Tanga.

  • Ulega ahimiza Wananchi kuchangamkia fursa Sekta ya Mifugo

    April 08, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewataka wananchi wanaoishi katika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ikiwemo Iringa na Njombe kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya mifugo hususan ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.

  • MAAFISA UGANI 1058 WAFIKIWA NA MAFUNZO REJEA 2024

    March 31, 2024

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imehitimisha zoezi la Mafunzo Rejea kwa Maafisa Ugani 1058 waliokuwa katika kanda mbalimbali ikiwa ni juu lengo la awali la kuwafikia Maafisa Ugani 1000.

.