Habari

 • MAGEREZA KUSAFISHA HEKTA 4000 ZA KUZALISHIA MALISHO

  March 08, 2024

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Daniel Mushi leo Machi 08, 2024 akiwa na timu ya wataalam kutoka Wizarani kwake, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Handeni wametembelea na kukagua eneo litakalopandwa malisho ya Mifugo...

 • ULEGA: RAIS SAMIA ANATAKA UFUGAJI WA KISASA

  March 08, 2024

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa dhamira ya Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona wafugaji wanafuga kisasa na ndio maana amewapelekea mbegu za malisho ili wafugaji waondokane na changamoto ya malisho hapa nchini.

 • VIJANA WALIOITIKIA WITO WA MHE. RAIS KUWEZESHWA

  March 08, 2024

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu, Sekta ya Mifugo, Prof. Daniel Mushi kuhakikisha anawawezesha vijana wa kikundi cha Kanani Msomera walionzisha wao wenyewe programu yao ya BBT kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.

 • TALIRI WEST KILIMANJARO KUWA KITIVO CHA UBORA UZALISHAJI MBUZI,KONDOO.

  March 05, 2024

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Daniel Mushi amesema kuwa Wizara yake inakusudia kukifanya kituo cha Utafiti wa Mifugo kanda ya Kaskazini cha West Kilimanjaro kuwa kitivo cha Ubora kwenye uzalishaji wa mbuzi na kondoo.

.