Habari

 • WADAU WAHIMIZWA KUUNGA MKONO MPANGO WA MABADILIKO SEKTA YA MIFUGO

  December 07, 2022

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amewataka wadau wa sekta ya mifugo wakiwemo wafugaji kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa mpango wa mabadiliko wa sekta ya mifugo ili kufanikisha nia ya Serikali ya kuwezesha wananchi kufuga kisasa.

 • ULEGA AHIMIZA WATANZANIA KUTUMIA BIDHAA ZA NDANI

  December 07, 2022

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewataka Watanzania kutumia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini ili kukuza uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

 • ​MAJALIWA ATOA MAAGIZO MAZITO KUWANUSURU PUNDA TANZANIA

  December 07, 2022

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa maagizo sita yatakayolenga uzalishaji na ustawi wa wanyama aina ya Punda ambao wameonekana kuwa kwenye hatari ya kutoweka.

 • AFRIKA YAKUTANA KUJADILI HATMA YA PUNDA

  December 07, 2022

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega ameziongoza zaidi ya nchi 20 wanachama wa Umoja wa Afrika ambazo zimekutana leo (01.12.2022) jijini Dar-es-salaam kwa ajili ya kujadili hata ya wanyama aina ya punda wanaodaiwa kuwa kwenye hatari ya kutoweka.

.