Habari

  • ULEGA AWATAKA WATAALAMU KUONGEZA UBUNIFU KUKUZA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI

    November 01, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewataka Wataalam wa Sekta za Mifugo na Uvuvi kuongeza ubunifu katika shughuli zao za kila siku ili mchango wa sekta hizo katika uchumi wa Taifa uweze kuongezeka.

  • WAVUVI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA KUTAMBUA SAMAKI MAJINI

    November 01, 2023

    Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), inatarajia kuanza kutumia rasmi mfumo wa kuwapatia wavuvi wadogo taarifa ya mahali samaki walipo ili wavuvi hao waweze kuvua kwa tija na kuondokana na uvuvi wa kubahatisha.

  • PROF. MSOFFE AIKABIDHI RASMI NARCO

    November 01, 2023

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ranchi za Taifa nchini (NARCO) Prof. Peter Msoffe amekabidhi rasmi majukumu ya usimamizi wa kampuni hiyo kwa kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo Bw. Bwire Mujarubi Oktoba 23, 2023 jijini Dodoma.

  • DKT. MUSHI AKUTANA NA WAWEKEZAJI TASNIA YA NYAMA NCHINI

    November 01, 2023

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt. Daniel Mushi leo Oktoba 18, 2023 amekutana na wawekezaji upande wa tasnia ya nyama kutoka viwanda vya Elia Food na Tanchoice.

.