Habari

 • ZIARA YA ULEGA THAILAND

  November 08, 2023

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega yuko nchini Thailand kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kujadili changamoto zinazoikabili sekta ya mifugo duniani kutokana na mabadiliko ya kisera, kiuchumi, kijamii na kimazingira.

 • WADAU WAHIMIZWA KUFUGA SAMAKI KUKUZA SEKTA YA UVUVI NCHINI

  November 01, 2023

  Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe amewahimiza wadau wa sekta ya uvuvi kujikita katika ufugaji wa viumbe maji ili kusaidia kukuza mchango wa sekta ya uvuvi katika Pato la Taifa kutoka asilimia 1.7 walau kufika mpaka asilimia 5 ifikapo mwaka 2025.

 • MNYETI AHIMIZA UFUGAJI WA KISASA KATAVI

  November 01, 2023

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amewataka wafugaji mkoani Katavi kuondokana na ufugaji holela licha ya kuwepo kwa maeneo ya kutosha ya malisho ya mifugo yao.

 • SERIKALI YAAHIDI KUIWEZESHA TAFIRI KUFANYA TAFITI ZAIDI

  November 01, 2023

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema serikali itafanya kila jitihada kuhakikisha Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) inafanya shughuli zake kwa ufasaha ili kuongeza tija katika Sekta ya Uvuvi nchini.

.