Habari

 • Ulega ahimiza Wananchi kuchangamkia fursa Sekta ya Mifugo

  April 08, 2024

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewataka wananchi wanaoishi katika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ikiwemo Iringa na Njombe kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya mifugo hususan ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.

 • MAAFISA UGANI 1058 WAFIKIWA NA MAFUNZO REJEA 2024

  March 31, 2024

  Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imehitimisha zoezi la Mafunzo Rejea kwa Maafisa Ugani 1058 waliokuwa katika kanda mbalimbali ikiwa ni juu lengo la awali la kuwafikia Maafisa Ugani 1000.

 • ULEGA AZINDUA MPANGO WA TAIFA WA KUHIFADHI KASA BAHARINI

  March 31, 2024

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema Mpango wa Taifa wa Miaka 5 wa Kuhifadhi Kasa wa Baharini ambao ameuzindua mapema leo ukitekelezwa ipasavyo utasaidia kuwalinda Kasa hao ambao wapo hatarini kutoweka.

 • WIZARA YATOA ELIMU YA KUPUMZISHA ZIWA TANGANYIKA

  March 31, 2024

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutekeleza shughuli za upumzishaji ziwa Tanganyika mkoani Kigoma kuanzia Mei 15, 2024 hadi Agosti 15, 2024 kwa kutoa elimu kwa madiwani na watendaji wa serikali mkoani Kigoma.

.