Habari

  • MIRADI ITUMIKE KUINUA UCHUMI WA WAVUVI-DKT. MWINYI

    September 14, 2024

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametoa rai kwa mashirika ya kimataifa yanayotekeleza miradi ya Uvuvi nchini kuhakikisha miradi hiyo inatumika kuinua uchumi wa wavuvi na sekta ya uvuvi kwa ujumla.

  • MAJALIWA MAJALIWA ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA UVUVI

    September 11, 2024

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametumia jukwaa la Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Uvuvi wa Bahari na Maji ya Ndani kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki

  • ​ULEGA AANIKA FAIDA MKUTANO WA OACPS

    September 10, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kufanyika kwa mkutano wa OACPS nchini Tanzania kutasaidia kuweka mikakati madhubuti ya kuinua sekta ya uvuvi na kuchechemua uchumi wa taifa kwa ujumla.

  • SHEMDOE APOKEA MAKASHA 70 YA KUHIFADHIA SAMAKI

    August 31, 2024

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amepokea jumla ya makasha 70 ya kuhifadhia samaki kwa niaba ya wanawake wanasiriamali waliopo kwenye mialo ya Kibirizi na Katonga mkoani Kigoma

.