Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
WAZIRI MPINA AKAGUA BAADHI YA ZANA ZA MIFUGO KATIKA SHAMBA LA KAFOI - ARUSHA NA KILIMANJARO
March 28, 2018Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Luhaga Joelson Mpina atembelea Wakala wa Mafunzo ya Mifugo (LITA) na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALIRI) zilizopo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambazo ni Campus ya LITA Tengeru- Arusha,TALIRI na NARCO zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro.
-
MNADA WA UPILI WA PUGU KUWA MNADA WA KIMATAIFA-LUHAGA MPINA
March 28, 2018Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Luhaga Joelson Mpina akiambatana na Katibu Mkuu Mifugo Dkt. Maria mashingo alipofanya ziara ya kukagua eneo la mnada huo lililovamiwa na wananchi na kujionea hali halisi ya uvamizi wa eneo hilo.
-
MHE WAZIRI ASHIRIKI KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI WA SEKTA YA UVUVI NA UFUGAJI VIUMBE KWENYE MAJI - UGANDA.
March 28, 2018Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi akiwa Entebe Uganda ambapo ameshiriki kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri wa Sekta ya Uvuvi na ufugaji Viumbe Majini chini ya shirika la usimamizi wa rasimali za Uvuvi la Jumuiya ya Afrika Mashariki ( Lake Victoria Fisheries Organization -LVFO).
-
SHEHENA YA KAYOBO ILIYOKAMATWA KISIWA CHA MAISOME KAGERA.
February 15, 2018Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akishuhudia shehena ya Kayabo iliyokamatwa Kisiwa cha Maisome