Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
SHEHENA YA KAYOBO ILIYOKAMATWA KISIWA CHA MAISOME KAGERA.
February 15, 2018Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akishuhudia shehena ya Kayabo iliyokamatwa Kisiwa cha Maisome
-
KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI(MIFUGO) DKT.MARIA MASHINGO ATOA SOMO KWA WAFUGAJI KASULU
January 17, 2018Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt.Maria Mashingo leo amelazimika kutoa somo la chapa kwa wafugaji wa kijiji cha Kabanga kata ya Msambara kitongoji cha Mulindi kasulu Mjini baada ya wafugaji hao kutaka kugomea zoezi la chapa.
-
Tanzania na Uganda za Saini Makubaliano ya Kuboresha Sekta ya Mifugo
January 15, 2018Tanzania na Uganda leo zimesaini makubaliano ya kuboresha sekta ya mifugo baina ya nchi mbili kwa kuimarisha ushirikiano katika nyanja za kuthibiti magonjwa hatari ya mlipuko na kuanzisha minada ya pamoja ya kimataifa kwa maslahi ya nchi zote mbili.
-
ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LIMEONGEZWA HADI JANUARY 31 2018
January 15, 2018Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina ameongeza muda wa mwezi mmoja zoezi la upigaji chapa mifugo kitaifa hadi Januari 31 mwaka huu