Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
UZINDUZI WA PROGRAMU YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO AWAMU YA PILI (ASDP II)
June 12, 2018Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akitoa hotuba yake mara baada ya kuzindua PROGRAMU YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO AWAMU YA PILI (ASDP II) iliyofanyika jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convection Centre tarehe 04/06/2018
-
NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ASALIMIANA NA DG WA SHIRIKA LA FAO – SUDAN
March 28, 2018Mhe Abdallah Ulega amepata nafasi adhimu kabisa ya kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani DG. Jose Graziano da Silva. Lengo mahsusi kabisa ilikuwa ni kushukuru kwa jinsi FAO ambavyo imekuwa ikisaidia na inavyoendelea kusaidia katika masuala mbalimbali.
-
WAZIRI WAKATI MADUME YA NG'OMBE BORA 11 YA MBEGU KATIKA KITUO CHA UZALISHAJI MIFUGO KWA CHUPA (NAIC) ARUSHA.
March 28, 2018Waziri amemshukuru na kumpongeza KMM kwa kazi kubwa ya kuhakikisha utoshelevu wa mbegu za AI kwa kuwepo kwa jumla ya madume bora 26 hadi sasa yenye uwezo wa kuzalisha jumla ya dozi 3,120,000 kwa mwaka, pia KMM kuandaa mpango maalum wa kuhimilisha Ng'ombe Milioni moja wa maziwa.
-
WAZIRI MPINA AKAGUA BAADHI YA ZANA ZA MIFUGO KATIKA SHAMBA LA KAFOI - ARUSHA NA KILIMANJARO
March 28, 2018Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Luhaga Joelson Mpina atembelea Wakala wa Mafunzo ya Mifugo (LITA) na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALIRI) zilizopo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambazo ni Campus ya LITA Tengeru- Arusha,TALIRI na NARCO zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro.