Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
Maziwa Lita 5,810 zatolewa katika Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Mkoani Arusha
June 04, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akishiriki zoezi la ugawaji wa maziwa kwa baadhi ya Wanafunzi waliotoka Shule mbalimbali Mkoani Arusha
-
Waziri Mpina akiangalia mitambo iliyopo katika kiwanda cha maziwa cha Kilimanjaro Fresh kilichopo Jijini Arusha
May 15, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina atembelea kiwanda cha Kilimanjaro fresh kilichopo Jijini Arusha.
-
Waziri Mpina akishuhudia zoezi la utiaji saini baina ya Makampuni mawili NARCO na NECAI
April 02, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina akishuhudia zoezi la utiaji saini baina ya Makampuni mawili NARCO kutoka Tanzania na NECAI
-
Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiweka Jiwe la Msingi kwenye Kiwanda kikubwa cha Kusindika Nyama cha Tanchoice
April 02, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiweka Jiwe la Msingi kwenye Kiwanda kikubwa cha Kusindika Nyama, Tanchoice kilichopo Mkoa wa Pwani - Kibaha Katika Kijiji cha Soga,