Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANENANE MKOANI SIMIYU
August 30, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina tarehe 08/08/2019 ashiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wakulima Nane Nane, Mkoani Simiyu,
-
OPERESHENI ZA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU ZALETA MANUFAA - WAZIRI MKUU
August 21, 2019Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina kuendelea kusimamia ulinzi wa rasilimali za uvuvi nchini kwani operesheni za kupambana na uvuvi haramu zinazoendeshwa na wizara yake zimeleta manufaa makubwa.
-
NAIBU WAZIRI ULEGA AKABIDHI CHANJO YA MIFUGO - MKURANGA
July 29, 2019Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega wa pili (kushoto)akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji Bw. Nata (kulia) Chanjo ya homa ya ugonjwa wa homa ya Mapafu ya ng’ombe Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.
-
WAZIRI MPINA AKIHUTUBIA MKUTANO WA WAFUGAJI WILAYA YA MEATU - SIMIYU
July 29, 2019Waziri mwenye dhamana ya kusimamia Sekta ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akihutubia Mkutano wa Wafugaji Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu nakusema kuwa,“Matatizo ya Wafugaji sasa yamefika mwisho”.