Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
WAZIRI MPINA AZINDUA AGENDA ZA UTAFITI NA KUIBUA TAFITI ZILIZOFICHWA.
November 20, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina azindua Agenda ya Kitaifa ya Utafiti wa Mifugo, Uvuvi na Ukuzaji viumbe kwenye maji 2020 - 2025 katika viwanja vya Freedom Square Kampasi ya Mazimbu, Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).
-
MPINA AFUNGUA KITUO CHA KANDA, ZVC NA TVLA MKOANI RUKWA
November 04, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina afungua Kituo cha Kanda cha Ufuatiliaji, Utambuzi na kuzuia magonjwa ya mifugo Kanda ya Kusini Magharibi Sumbawanga tarehe 30/10/2019, Mkoani Rukwa.
-
UZINDUZI WA KAMPENI YA KITAIFA YA KUOGESHA MIFUGO AWAMU YA PILI - KATAVI
November 04, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishirikiana na wafugaji kuingiza ng'ombe kwenye josho la Kijiji cha Kikonko wilayani Mlele mkoani Katavi
-
Waziri Mpina akizungumza na Wananchi Mkoani Katavi
November 04, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina akizungumza na Wananchi wa Katavi katika ziara ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli