Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
NAIBU WAZIRI ULEGA AAGIZA KUKAMILIKA KANUNI, KUSIMAMIA SHERIA YA UVUVI WA BAHARI KUU
June 05, 2020Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega afanya ziara ya kikazi Zanzibar
-
WAZIRI MPINA AKABIDHI DAWA ZA KUOGESHA MIFUGO (PARANEX) SIMIYU
February 20, 2020Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina ashiriki zoezi la kuogesha mifugo na kukabidhi Dawa za kuogeshea mifugo aina ya (Paranex) kwa wafugaji katika josho la Mwandete Wilaya ya Maswa.
-
PROF. ELISANTE ATEMBELEA KIWANDA CHA KUZALISHA CHANJO CHA HESTER - PWANI
February 20, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo atemebelea kiwanda cha kuzalisha chanjo cha HESTER.
-
MPINA ATEMBELEA VIWANDA VYA SAMAKI - MWANZA
February 20, 2020Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina atembelea Kiwanda cha Uchakataji wa samaki na uuzaji wa mabondo ziwa Victoria cha (Honglin international trade development co.tz na (Victoria Perch Ltd )