Habari

  • EMEDO YAWAPIGA MSASA WANAHABARI

    September 10, 2023

    Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wamepatiwa mafunzo kuhusu Mradi wa Kuzuia Kuzama Maji (wavuvi) – Ziwa Victoia unaoratibiwa na Shirika lisilo la kiserikali la shirika la Usimamizi wa Mazingira na Maendeleo ya Uchumi (EMEDO).

  • KUPITIA AGRF 2023 TUTAUZA PROTINI KWA NCHI ZENYE MAHITAJI-ULEGA

    September 06, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa Wizara yake itatumia Mkutano wa Jukwaa la mifumo ya chakula (AGRF) kuitangazia dunia dhamira ya dhati ya Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuzalisha na kuuza kwa wingi Protini itokanayo na mazao ya Mifugo na Uvuvi.

  • KENYA NA CHINA ZAVUTIWA NA FURSA ZA UWEKEZAJI KWENYE MIFUGO

    September 06, 2023

    Nchi za China na Kenya zimeonekana kuvutiwa na fursa za uwekezaji zilizopo kwenye sekta ya Mifugo mara baada ya kuwatembelea wawekezaji wa ndani ambao ni Ranchi ya Mbogo na Kiwanda cha kuchakata nyama cha “Tanchoice” vilivyopo mkoani Pwani Septemba 03, 2023.

  • ​ELIMU KUHUSU PROGRAMU YA UTOAJI CHANJO DHIDI YA MAGONJWA YA WANYAMA YA KIPAUMBELE YAANZA KUTOLEWA

    September 02, 2023

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutoa elimu kuhusu program ya utoaji chanjo dhidi ya magonjwa ya wanyama ya kipaumbele ambayo inatarajiwa kuanza kwa lengo la kudhibiti magonjwa ya mifugo.

.