Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
SEKTA YA UVUVI INATOA ASILIMIA 30 YA PROTINI KWENYE LISHE- DKT. TAMATAMAH
October 11, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Rashid Tamatamah amewataka wafugaji na wavuvi nchini kuacha kufanya kazi zao kwa mazoea na badala yake watumie njia za kisasa na kitaalam katika utekelezaji wa shughuli hizo.
-
PROF. GABRIEL: OGESHENI MIFUGO YENU ILI KUIKINGA NA MAGONJWA
October 11, 2020Wafugaji hapa nchini wametakiwa kuogesha mifugo yao ili kuikinga na magonjwa yaenezwayo na kupe.
-
IDARA YA UVUVI YAHAKIKISHA RASILIMALI ZA BAHARI ZINALINUFAISHA TAIFA KIUCHUMI
October 11, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema ukusanyaji wa takwimu za sekta ya uvuvi katika Ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi unalenga kutoa tathmini ya hali ya uvuvi katika ukanda huo na kuhakikisha rasilimali za bahari zinaendelea kuleta manufaa na kuchangia katika uchumi wa nchi.
-
MAAFISA UGANI WA SINGIDA NA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO REJEA KUHUSU UFUGAJI WENYE TIJA.
October 08, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa mafunzo rejea kwa maafisa ugani kutoka mikoa ya Singida na Dodoma ili kuwawezesha wagani hao kwenda kutoa elimu kwa wafugaji.