Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
Waziri Mpina akishuhudia zoezi la utiaji saini baina ya Makampuni mawili NARCO na NECAI
April 02, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina akishuhudia zoezi la utiaji saini baina ya Makampuni mawili NARCO kutoka Tanzania na NECAI
-
Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiweka Jiwe la Msingi kwenye Kiwanda kikubwa cha Kusindika Nyama cha Tanchoice
April 02, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiweka Jiwe la Msingi kwenye Kiwanda kikubwa cha Kusindika Nyama, Tanchoice kilichopo Mkoa wa Pwani - Kibaha Katika Kijiji cha Soga,
-
WAZIRI MPINA ATEKETEZA NYAVU HARAMU TANGA
March 26, 2019Waziri wa mifugo na uvuvi Mhe. Luhaga Mpina (Mb) ateketeza vipande vya nyavu haramu 773 zenye chini ya mil 10 ambazo zilikutwa katika maeneo ya Kigombe,Moa na Tanga Jiji Mkoani Tanga.
-
SERIKALI YATEKETEZA TANI 11 ZA SAMAKI ZENYE THAMANI YA Sh.MIL 66
March 13, 2019Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeteketeza Tani 11 za samaki zenye thamani ya zaidi ya Tshs mil.60 zilizobainika kuwa na sumu na hazifai kwa matumizi ya binadamu.