Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
SOKO LA SAMAKI WAFUGWAO NA MAJI YA ASILI KUSHINDANISHWA
March 12, 2021Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amesema serikali imeweka lengo la kuhakikisha Sekta ya Uvuvi kupitia ufugaji samaki inazalisha idadi kubwa ya samaki sambamba na samaki wapatikanao kwenye maji ya asili.
-
WAZIRI NDAKI ANUSA UBADHILIFU MNADA WA PUGU, AUONYA UONGOZI NA KUMUONDOA ASKARI KAZINI
March 11, 2021Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amemtaka Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Wizi wa Mifugo (STPU) Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kumuondoa kazini katika mnada wa Pugu.
-
TAARIFA ZA UTEKELEZAJI MIFUGO, UVUVI ZATINGA BUNGENI
March 11, 2021Wizara ya Mifugo na Uvuvi leoimewasilisha taarifa zake za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa mwaka wa fedha uliopo (2020/2021) na mikakati iliyojiwekea katika utekelezaji wa miradi kwa mwaka ujao wa fedha (2021/2022).
-
WANANCHI WAMETAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA SUALA LA KUDHIBITI UVUVI HARAMU
March 07, 2021Wananchi wametakiwa kushirikiana katika suala la kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria ili kuendelea kunufaika na rasilimali za uvuvi.