Habari

 • ​PROF. OLE GABRIEL AWAFUNDA WASOMI HOMBOLO

  November 30, 2020

  Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel amewaeleza wanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa- Hombolo kuwa wao ni Viongozi watarajiwa hivyo wanawajibu wa kuhakikisha watakapokuwa viongozi wanakidhi matarajio ya wale watakaokuja kuwaongoza.

 • ​BARAZA LA VETERINARI LAKIFUNGIA KITUO CHA AFYA SENDEU

  November 30, 2020

  Baraza la Veterinari Tanzania limekifungia kituo cha huduma ya afya ya wanyama cha Sendeu kilichopo Wilayani Longido, Mkoani Arusha kwa kubainika kutokuwa na wataalam waliosajiliwa na Baraza hilo.

 • ​WADAU WA UVUVI WAKUTANA KUPITIA MPANGO KAZI UVUVI MDOGO

  November 30, 2020

  Wadau wa Sekta ya Uvuvi kutoka maeneo mbalimbali wamekutana kujadili na kupitisha rasimu ya mpango wa kitaifa wa kutekeleza mwongozo wa hiari wa kuhakikisha uvuvi mdogo unakuwa endelevu nchini.

 • ​MRADI WA SWIOFISH WASHIRIKISHA WANANCHI KULINDA RASILIMALI ZA UVUVI NCHINI

  November 21, 2020

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah amesema Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi Kusini Magharibi Mwa Bahari ya Hindi (SWIOFish) umewezesha uboreshaji wa miundombinu ya taasisi za wizara hiyo.

.