Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
MAAFISA UGANI WA SINGIDA NA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO REJEA KUHUSU UFUGAJI WENYE TIJA.
October 08, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa mafunzo rejea kwa maafisa ugani kutoka mikoa ya Singida na Dodoma ili kuwawezesha wagani hao kwenda kutoa elimu kwa wafugaji.
-
MATOKEO YA MITIHANI YA BARAZA LA VETERINARI TANZANIA YATOLEWA
September 09, 2020Baraza la Veterinari Tanzania limetoa matokeo ya mitihani ya kujiandikisha ya baraza hilo, iliyofanyika katika vituo vya SUA, MPWAPWA, TENGERU na CANRE. Kupata orodha kamili ya matoke.
-
PROF. GABRIEL AZITAKA TAASISI KUTUMIA MFUMO WA ULIPAJI SERIKALINI.
September 03, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel amezitaka taasisi zilizo chini ya Sekta ya Mifugo kuhakikisha wanatumia Mfumo wa Ulipaji Serikalini (MUSE).
-
TAMATAMAH AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUHUSU MJADALA WA VIWANGO VYA MAZAO YA DAGAA NA MWANI.
August 27, 2020Serikali imesema ipo katika mchakato wa kutengeneza viwango vya kitaifa vya ubora na usalama wa mazao ya Mwani na Dagaa ili kuyapa mazao hayo fursa pana ya masoko ya uhakika ndani na nje ya nchi.