Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
PROF. MSOFFE AJA NA MIKAKATI MIPYA YA UENDESHAJI NARCO KIBIASHARA ZAIDI
July 01, 2021Meneja Mkuu wa Kampuni za Ranchi za Taifa (NARCO), Prof. Peter Msoffe ametaja mikakati itakayosaidia kampuni hiyo kuweza kujiendesha kibiashara zaidi.
-
WANAWAKE WANAOJIHUSISHA NA UVUVI WATAKIWA KUWA WABUNIFU
June 30, 2021Wanawake wanaojihusisha na shughuli za uvuvi wametakiwa kuwa wabunifu ikiwa ni pamoja na kujengeana uwezo Ili kukuza biashara zao huku wakikumbushwa kujilinda dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi.
-
POLAND YAKOSHWA NA USHIRIKIANO WAKE NA TANZANIA
June 30, 2021Nchi ya Poland imefurahishwa na ushirikiano uliopo baina yake na Tanzania ambapo imeahidikuendeleza ushirikiano huo ili kuboresha miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ile inayohusu sekta ya mifugo nchini.
-
KAMATI YARIDHISHWA NA ELIMU YA UVUVI HARAMU BWAWA LA MTERA
June 30, 2021Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imeridhishwa na elimu iliyotolewa kuhusu uvuvi haramu kwa wavuvi wa bwawa la Mtera.