Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
WAUZAJI NA WASAMBAJI NYAVU HARAMU KIKAANGONI
May 26, 2021Serikali imepanga kuweka utaratibu wa kutambua hatua mbalimbali za upatikanaji wa nyavu za uvuvi tangu kutengenezwa kwake hadi kusambazwa na kumfikia mvuvi ili kudhibiti usambaaji wa nyavu zisizohitajika kisheria hapa nchini.
-
​SERIKALI YASISITIZA UPATIKANAJI WA TAARIFA SAHIHI ZA UVUVI MDOGO
May 26, 2021Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesisitiza upatikanaji wa taarifa sahihi za uvuvi mdogo nchinikwa kuangaza taarifa za wavuvi wadogo zilizofichika ili ziweze kutumika kwa mipango ya maendeleo endelevu kwa lengo la kukuza Uchumi.
-
WASAMBAZAJI NA WAUZAJI WA DAWA ZA MIFUGO WATAKIWA KUZINGATIA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI
May 26, 2021Wauzaji na wasambazaji wa madawa ya mifugo wametakiwa kuzingatia utaratibu ambao umewekwa na Serikali kupitia Baraza la Veterinari Tanzania ili kutoa huduma stahiki kwa wafugaji.
-
​SERIKALI KUWEKA UTARATIBU WA KUVUA KAMBAMITI
May 26, 2021Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka utaratibu wa kuvua kambamiti kwa wavuvi wakubwa na wadogo ili kufanya kambamiti waweze kuzaliana na kukua.