Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
UFUGAJI WA SAMAKI KATIKA MABWAWA, VIZIMBA KUPUNGUZA UVUVI HARAMU
December 16, 2020Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema ufugaji wa Samaki katika Mabwawa na Vizimba ukihamasishwa na kupewa msukumo mkubwa utasaidia kuongeza wingi wa samaki na utasaidia kupunguza uvuvi harama katika maji ya asili.
-
SERIKALI YAONYA ‘WANAOCHAKACHUA’ MAZIWA
December 07, 2020Serikali imewataka baadhi ya wafugaji wenye mtindo wa kuongeza unga katika Maziwa kuacha kufanya hivyo kwani sio tu inaharibu biashara ya maziwa katika soko la ndani ya nchi bali hata soko la nje.
-
UZALISHAJI WA MAZIWA NCHINI WAONGEZEKA, WATANZANIA WAASWA KUNYWA MAZIWA KUBORESHA AFYA ZAO
December 04, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amesema uzalishaji wa maziwa nchini unazidi kuongezeka kutoka lita bilioni 2.7 kwa mwaka hadi lita bilioni 3.01, huku matumizi ya maziwa yakiripotiwa kuwa bado yako chini.
-
PINDA AWATAKA WATAAMU WA MIFUGO KUISHAURI SERIKALI KUBORESHA SEKTA YA MIFUGO
December 04, 2020Wataalamu wa Uzalishaji na Uendelezaji wa Mifugo na Uvuvi nchini wametakiwa kutumia taaluma zao kuishauri Serikali namna bora ya kuboresha na kuendeleza Sekta ya mifugo na Uvuvi ili ziweze kutoa mchango wa kutosha katika kukuza uchumi wa nchi na kuongeza Pato la taifa na uchumi wa mtu mmoja mmoja.