Habari

 • ​SERIKALI KUWEKA UTARATIBU WA KUVUA KAMBAMITI

  May 26, 2021

  Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka utaratibu wa kuvua kambamiti kwa wavuvi wakubwa na wadogo ili kufanya kambamiti waweze kuzaliana na kukua.

 • SERIKALI KUSAMBAZA MBEGU YA JUNCAO NCHI NZIMA

  May 26, 2021

  Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutenga maeneo ya kupanda mbegu za malisho ya kisasa aina ya Juncao lengo likiwa ni kuwa na maeneo ya kutosha kwa ajili ya kupanda mbegu hizo ambazo zitasambazwa kote nchini ili kutatua changamoto ya malisho.

 • WAWEKEZAJI WATAKIWA KUGEUKIA FURSA YA KILIMO CHA MBEGU ZA MALISHO YA MIFUGO

  May 26, 2021

  Serikali imewataka wadau wa uwekezaji nchini kugeukia Sekta ya Mifugo hasa katika kutumia fursa ya changamoto ya uhaba wa mbegu za malisho ambayo mahitaji yake ni zaidiya tani milioni 7 kulinganisha uzalishaji wa sasa wa tani 127 pekee.

 • WAZIRI NDAKI, AIPONGEZA BODI YA (MPRU) KWA KAZI NZURI.

  May 26, 2021

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki (Mb), amewapongeza wajumbe wa bodi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU) kwa kazi nzuri wanayoifanya licha ya changamoto wanayopitia kwenye maeneo ya hifadhi za bahari inayosababishwa na uvamizi wa shughuliza uvuvi.

.