Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
PROF. GABRIEL AZITAKA TAASISI KUTUMIA MFUMO WA ULIPAJI SERIKALINI.
September 03, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel amezitaka taasisi zilizo chini ya Sekta ya Mifugo kuhakikisha wanatumia Mfumo wa Ulipaji Serikalini (MUSE).
-
TAMATAMAH AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUHUSU MJADALA WA VIWANGO VYA MAZAO YA DAGAA NA MWANI.
August 27, 2020Serikali imesema ipo katika mchakato wa kutengeneza viwango vya kitaifa vya ubora na usalama wa mazao ya Mwani na Dagaa ili kuyapa mazao hayo fursa pana ya masoko ya uhakika ndani na nje ya nchi.
-
WAZIRI MPINA AFANYA UTEUZI
August 20, 2020Waziri Mpina afanya uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Vyuo vya Mifugo Tanzania (LITA) na Naibu Msajili wa Baraza la Veterinari Tanzania.
-
BODI YATAKIWA KUWA BUNIFU KUBORESHA HUDUMA ZA LITA
July 26, 2020Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel ameitaka Bodi Mpya ya Ushauri ya Wakala ya Vyuo vya Mifugo (LITA) kuwa bunifu ili kuboresha huduma na kuleta tofauti katika shughuli zao na kufikia malengo yake.