Habari

 • MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZIWA YAANZA NA WENYE MAHITAJI MAALUM .

  June 01, 2021

  Bodi ya Maziwa nchini (TDB) imesema katika kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya bora imeamua kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji maalum kutokana na virutubisho vilivyopo kwenye maziwa hayo ambavyo vitawasaidia kuimarisha afya zao.

 • ​UFUGAJI UNALIPA-DC NJOMBE

  June 01, 2021

  Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amewataka Wananchi wa mkoa wa Njombe na Tanzania kwa ujumla kuingia kwenye shughuli za ufugaji kwa sababu unalipa na hautumii muda mwingi wa mfugaji.

 • BIMA ITAWAKOMBOA WAFUGAJI NA WAVUVI NCHINI-ULEGA

  June 01, 2021

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah ulega ameliagiza Dawati la Sekta binafsi lililopo Wizarani hapo kushughulikiaharaka mchakato wa upatikanaji wa huduma ya bima kwa wafugaji na wavuvi ili waweze kutekeleza kwa tija shughuli zao.

 • WAWEKEZAJI WAIOMBA SERIKALI KUDHIBITI UVAMIZI RANCHI ZA TAIFA

  June 01, 2021

  Wawekezaji wa muda mrefu katika Vitalu vya Ranchi za Taifa wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti uvamizi unaofanywa na baadhi ya Wananchi katika maeneo hayo kwani vitendo hivyo vimekuwa kikwazo kikubwa katika kuendeleza Sekta ya Mifugo nchini.

.