Habari

 • SERIKALI KUENDELEA KUFANYA TAFITI ZA MALISHO YA MIFUGO NCHINI

  June 05, 2021

  ​Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Angelo Mwilawa amesema kuwa Serikali inakusudia kuendelea kufanya utafiti zaidi wa malisho ya mifugo baada ya kuona matunda ya tafiti ambazo zimeshafanyika.

 • ​WANANCHI MKINGA KUNUFAIKA NA MRADI WA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UVUVI

  June 05, 2021

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetambulisha mradi wa usimamizi wa rasilimali za uvuvi kwa ukuaji wa uchumi wa bluu kwa ukanda wa Pwani wa bahari ya Hindi unaoshirikisha nchi tatu za Tanzania, Madagaska na Msumbiji.

 • WAFUGAJI WANUFAIKA NA MRADI WA ADGG

  June 01, 2021

  Mradi wa uboreshaji na uendelezaji mbari za ng’ombe wa maziwa (ADGG) ambao umefanyika katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Iringa, Mbeya Njombe, na Songwe wawanufaisha wafugaji katika maeneo hayo.

 • WAFUGAJIWETU WAMEJIFUNZA MENGI NJOMBE, MUFINDI-DKT. KIZIMA

  June 01, 2021

  Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wafugaji na wadau kutoka mradi wa utafiti wa malisho unaozingatia utunzaji mazingira (CIAT) leo (31.05.2021) imehitimisha ziara yake ya siku mbili ya kubadilishana uzoefu wa elimu ya shughuli za uganikatika mkoa wa Njombe.

.