Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
MPANGO WA UNYWAJI MAZIWA KWA WATUMISHI WA UMMA WAZINDULIWA
April 14, 2021Serikali imezindua mpango wa unywaji maziwa kwa Watumishi wa Umma kwa lengo la kuhamasisha unywaji wa maziwa yanayozalishwa ndani ya nchi lakini pia kuongeza kipato cha wafugaji.
-
​UKARABATI WA UZIO MNADA WA PUGU WAWEKEWA MKAKATI MAALUM!
April 13, 2021Wafanyabiashara katika Mnada wa Kimataifa wa Pugu uliopo jijini Dar es Salaam, wameiomba Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuendelea kutatua changamoto zilizopo katika mnada huo ili uwe na tija kwao na taifa kwa ujumla.
-
WIZARA KUJENGA VITUO 40 VYA MAFUNZO YA UFUGAJI SAMAKI, UHOLANZI YAVUTIWA!
April 11, 2021Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. Jeroen Verheu amesema nchi yake iko tayari kusaidia ujenzi wa vituo vya mafunzo ya ufugaji samaki nchini ili kuunga mkono mkakati wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuhakikisha inafikisha huduma za mafunzo hayo kila wilaya.
-
WACHUNAJI WATAKIWA MBINU BORA NA VIFAA STAHIKI
April 09, 2021Wachunaji wa ngozi katika machinjio ya Manispaa ya Tabora wametakiwa kutumia mbinu bora na vifaa stahiki wakati wa uchunaji wa ngozi.