Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
TUTAENDELEA KUBORESHA SERA NA SHERIA YA UVUVI-ULEGA
April 19, 2021Serikali imesema ipo tayari kuendelea kupitia Sera na Sheria ya Uvuvi nchini ili iweze kukidhi mahitaji ya wavuvi wadogo kama ambavyo imekuwa ikifanya hivyo mara kwa mara pale inapohitajika.
-
WIZARA YA MIFUGO YATAKA KUWEPO NA ADHABU KWA WATAFITI WATAKAOSHINDWA KUFIKISHA MATOKEO YA TAFITI ZAO KWA WAFUGAJI
April 15, 2021Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewataka watendaji wa wizara hiyo ambao wanahusika na utungaji wa miongozo ya utafiti wa mifugo kuangalia namna ya kuweka adhabu kwa watafiti watakaoenda kinyume kwa kutofikisha tafiti zao kwa wafugaji ambao ndio walengwa wa utafiti
-
WAFANYABIASHARA WAONYWA KUACHA KUTOROSHA MIFUGO NJE YA NCHI!
April 15, 2021Wafanyabiashara wa mifugo nchini wametakiwa kuepuka kusafirisha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu kwa kuwa serikali itakosa mapato kupitia rasilimali za nchi na pia ni kosa kisheria.
-
MAREKANI YAAHIDI KUINUA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI NCHINI
April 15, 2021Serikali ya Marekani imesema itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika nyanja mbalimbali ikiwemo kuinua Sekta za Mifugo na Uvuvi ili ziweze kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye pato la Taifa.