Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
ULEGA: TUMEDHAMIRIA KUWAWEZESHA WAVUVI WAONDOKANE NA UVUVI WA KUWINDA
October 02, 2021Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kuwaelimisha Wavuvi na kuwapa vifaa maalum vitakavyowasaidia kujua wapi kuna makundi ya Samaki ili waachane na Uvuvi wa kuwinda ambao umekuwa hauna tija kwao.
-
SERIKALI YA RAIS SAMIA KUWAINUA KIUCHUMI WANANCHI WA RUANGWA
October 02, 2021Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imejipanga kupeleka miradi ya ufugaji Kuku, Mbuzi na Samaki katika Wilaya ya Ruangwa ili iwasaidie kuinua Uchumi wao.
-
NACHINGWEA YATAKIWA KUSIMAMIA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI
September 28, 2021Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Hashim Komba kuhakikisha anawapanga Wakulima na Wafugaji katika maeneo waliyopangiwa ili kuondosha migogoro inayoikabili Wilaya hiyo.
-
SERIKALI KUENDELEA KUHAMASISHA ULAJI WA NYAMA NCHINI.
September 28, 2021Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema bado ulaji wa nyama nchini Tanzania ni mdogo ambapo kwa sasa ulaji ni kilo 15 kwa mtu tofauti na tafiti za shirika la chakula Duniani linaloelekeza kila mtu atumie kilo 50 kwa mwaka.