Habari

 • WAZIRI MASHIMBA ATOA MAAGIZO 3 KUDHIBITI HOMA YA MAPAFU KWA NG’OMBE

  December 16, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemuagiza Kaimu Meneja Mkuu, Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), Maselle Shilagi kuhakikisha anawapa chanjo Ng’ombe wote katika Ranchi 14 za Taifa ili kuwakinga na ugonjwa wa homa ya mapafu ulioanza kuathiri baadhi ya Ng’ombe katika Ranchi ya Kongwa.

 • WATUMISHI WA WIZARA WAHIMIZWA USHIRIKIANO

  December 16, 2020

  Waziri Mteule wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka Watumishi wa Wizara hiyo kufanya kazi kwa ushirikiano kuhakikisha sekta hizo mbili zinachangia kwa sehemu kubwa katika maendeleo ya nchi na watu wake.

 • UFUGAJI WA SAMAKI KATIKA MABWAWA, VIZIMBA KUPUNGUZA UVUVI HARAMU

  December 16, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema ufugaji wa Samaki katika Mabwawa na Vizimba ukihamasishwa na kupewa msukumo mkubwa utasaidia kuongeza wingi wa samaki na utasaidia kupunguza uvuvi harama katika maji ya asili.

 • SERIKALI YAONYA ‘WANAOCHAKACHUA’ MAZIWA

  December 07, 2020

  ​Serikali imewataka baadhi ya wafugaji wenye mtindo wa kuongeza unga katika Maziwa kuacha kufanya hivyo kwani sio tu inaharibu biashara ya maziwa katika soko la ndani ya nchi bali hata soko la nje.

.