Habari

  • WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUPIMA AFYA ZAO MARA KWA MARA

    May 01, 2021

    ​Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Hezron Nonga, ametoa wito kwa watumishi wa umma kupima afya zao mara kwa mara ili kutambua afya zao kama ambavyo muongozo wa kudhibiti virusi vya ukimwi (VVU), Ukimwi na magonjwa sugu yasiyo ambukiza mahala pa kazi unavyowataka.

  • MIFUGO YA TANZANIA YAHITAJIKA VIETNAM NA WAZIRI NDAKI AWAALIKA WAVIETNAM KUFUGA SAMAKI

    April 28, 2021

    Balozi wa Vietnam nchini Tanzania Mhe. Nguyen Nam Tien amesema atawasilisha serikalini vigezo vinavyopaswa kufuatwa na wafanyabishara wa hapa nchini ili waweze kusafirisha mifugo na nyama kwenda nchini Vietnam, kutokana na nchi hiyo kuwa na uhitaji mkubwa wa nyama.

  • UVUVI HARAMU KUDHUBITIWA BWAWA LA MUNGU

    April 28, 2021

    Serikali kwa kushirikiana na wadau imepanga kudhibiti Uvuvi haramu kwenye Bwawa la Mungu lililopo Mkoani Kilimanjaro.

  • SERIKALI YAMALIZA MGOGORO WA ARDHI BAINA YA WANANCHI NA NARCO

    April 26, 2021

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameielekeza Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kutenga Ekari Elfu Kumi na Tano (15000) na wazigawe kwa Wananchi wa Vijiji viwili vya Mpeta na Chakulu vilivyopo Wilayani Uvinza, Mkoani Kigoma ili kutatua mgogoro wa ardhi wa muda mrefu baina ya wananchi hao na Kampuni hiyo.

.