Habari

 • WAKAGUZI WA NGOZI WATAKIWA KUHAKIKISHA UZALISHAJI WA NGOZI BORA

  May 23, 2021

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa mafunzo na kuwakabidhi majukumu wakaguzi wa ngozi 33, kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa Victoria ili kuhakikisha ngozi inayozalishwa nchini inakuwa bora.

 • HALMASHAURI MBIONI KUNUFAIKA NA MINADA YA UPILI NA KIMATAIFA

  May 23, 2021

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (Mb) ameziagiza Idara za Uzalishaji na Masoko na ile ya Huduma za Mifugokuangalia nafasi ya Halmashauri kwenye minada ya upili na ya kimataifa ili waweze kuona ni namna gani Halmashauri hizo zitanufaika kutokana na uwepo wa minada hiyo kwenye maeneo yao.

 • WAVUVI WAHIMIZWA KUJIUNGA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA

  May 23, 2021

  Serikali imeendelea kuhamasisha uanzishwaji na uimarishaji wa vikundi na vyama vya ushirika vya msingi vya wavuvi wadogo kwa lengo la kuwapatia mtaji, ujuzi, vifaa pamoja na dhana za uvuvi katika maeneo ya mwambao wa bahari ya hindi , maziwa, mabwawa na mito ili kuzalisha ajira na kipato.

 • CHANGAMOTO YA UPOTEVU WA MAZAO YA UVUVI YAANZA KUPATIWA MAJIBU

  May 23, 2021

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (Mb) ameupongeza Mfuko wa Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF), kwa kuyafanyia kazi maono ya serikali ya kuhifadhi mazao ya uvuvi ambayo yamekuwa yakiharibika kutokana na kukosekana kwa nyenzo za kuyahifadhi.

.