Habari

 • MAWAKALA WA KUKU WASIOTAMBULIKA KUKAMATWA

  February 18, 2021

  Chama cha Wafugaji wa Kuku wa Nyamanchini (TABROFA) kimetakiwa kuwa na ushirikiano ili kutokomeza changamoto wanazozipata wafanyabiashara wa kuku hasa mawakala wasiotambulika wanaouza vifaranga vya kuku wa nyama pamoja na vyakula vya kuku kwa bei ya juu katika maeneo mbalimbali nchini.

 • UHABA WA WATAALAM WENYE UJUZI KILIO KWA WAWEKEZAJI

  February 18, 2021

  Mratibu na Mkurugenzi wa Operesheni, Kiwanda cha Kutengeneza Chanjo cha Hester, Tina Towo Sokoine amesema kuwa lengo la kiwanda hicho ni kutumia Wataalam wa ndani lakini uhaba wa Wataalam wa masuala ya sayansi wenye ujuzi hasa wa vitendo unaelekeakukwamisha dhamira yao hiyo.

 • NARCO YAAGIZWA KUWANYANG'ANYA VITALU WALIOKIUKA MKATABA

  February 18, 2021

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameiagiza Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kuwanyang'anya wale wote walioshindwa kuendeleza vitalu walivyokodishwa katika ranchi za kampuni hiyo kwa sababu wamekiuka masharti ya mkataba.

 • WATUMISHI WA UMMA WANAOINGIZA KWA MAKUSUDI MIFUGO KWENYE HIFADHI NA KUNYANYASA WAFUGAJI WAONYWA

  February 18, 2021

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amesema atazungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii kuhusu kitendo cha baadhi ya watumishi wa umma walio chini ya wizara hiyo

.