Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
RAIS SAMIA AIPA KONGOLE WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KUPITIA BBT – LIFE
August 27, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa namna inavyotekeleza Programu ya Kielelezo “Jenga Kesho Iliyo Bora” (BBT – LIFE) na kuwataka vijana waliopo kwenye programu hiyo kutumia vyema fursa hiyo.
-
WANUFAIKA WA BBT – LIFE WAMKOSHA KATIBU MKUU KIONGOZI
August 27, 2023Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka amewaasa vijana waliopo kwenye Programu ya Kielelezo “Jenga Kesho Iliyo Bora” (BBT – Life) kufanya vizuri zaidi kwa kutumia fursa waliyopata ili kufikia malengo ya serikali.
-
WAFUGAJI WA SAMAKI WAHIMIZWA KUKITUMIA KITUO CHA MWAMAPULI
August 27, 2023Wafugaji wa samaki Kanda ya Magharibu wamehimizwa kukitumia Kituo cha Mwamapuli kwa ajili ya kupata elimu ya ufugaji wa kisasa na kibiashara.
-
FURSA ZA MIFUGO NA UVUVI ZAZIDI KUPAA
August 27, 2023Serikali imewaasa wadau wa sekta za mifugo na uvuvi kujisajili na kushiriki vyema katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika 2023 (AGRF) ili waweze kufungua fursa za kibiashara ndani na nje ya nchi.