Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
MAAFISA MADUHULI WATAKIWA KUHAKIKISHA WANAZIBA MIANYA YA UPOTEVU WA MAPATO KATIKA MINADA
December 01, 2021Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka Maafisa Maduhuli wa Serikali katika Minada ya Upili na ile ya Mpakani kuziba mianya inayosababisha upotevu wa mapato huku akiwataka kuongeza ufanisi katika ukusanya wa maduhuli hayo.
-
SERIKALI YAGAWA VIFARANGA 2600 KWA VIKUNDI VYA KINAMAMA MKURANGA
December 01, 2021Katika jitihada za kuwakwamua kiuchumi wananchi hususan kinamama, Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imegawa Vifaranga 2600 kwa mashamba darasa mawili katika kata ya Vikindu na Kimanzichana vilivyopo wilayani Mkuranga, mkoani Pwani.
-
MCHAKATO WA KUPITIA UPYA SERA YA MIFUGO WAIVA, INALENGA KUONGEZA KIPATO KWA WATANZANIA WANAOTEGEMEA MIFUGO.
December 01, 2021WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema, sekta ya mifugo ina nafasi kubwa katika kujenga uchumi imara wa Taifa, kuongeza kipato kwa Watanzania wanaotegemea mifugo, kutoa fursa za ajira na kuhifadhi rasilimali za Taifa.
-
BILIONI 50 KUANZISHA UJENZI WA BANDARI YA UVUVI KILWA MASOKO
December 01, 2021Serikali imetenge fedha shilingi bilioni 50 kwa ajili ya kuanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ambayo itajengwa Wilayani Kilwa mkoani Lindi.