Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
KATIBU MKUU MIFUGO AWAFUNDA WAAJIRIWA WAPYA WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
January 03, 2022Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi sekta ya Mifugo Amosy Zephania amewataka watumishi walioajiriwa hivi karibuni katika Wizara hiyo kuwa waadilifu katika utendaji kazi.
-
ULEGA: Huduma za Ugani ni muhimu kwa uzalishaji wenye tija
January 03, 2022Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema huduma za ugani ni kiungo muhimu katika kuwasaidia Watafiti, Wakulima, Wafugaji na Wavuvi kufanya uzalishaji wenye tija.
-
SEKTA ZA MIFUGO SMT NA SMZ ZAWEKA MIKAKATI YA MAENDELEO
December 01, 2021Sekta za Mifugo za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kupitia makatibu wake wakuu wamekutana na kuweka mikakati ya kuendeleza sekta hizo kwa wafugaji wa pande mbili za Muungano ambapo maazimio saba yameridhiwa ikiwa ni hatua ya kufikia malengo tarajiwa.
-
SERIKALI YASISITIZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA HAKI ZA WANYAMA
December 01, 2021Serikali imewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika ulinzi wa haki za wanyama ambazo zimeonekana kukiukwa kwa kiasi kikubwa siku za hivi karibuni.