Habari

  • SERIKALI KUENDELEA KUTATUACHANGAMOTO ZA SEKTA YA UVUVI.

    June 01, 2021

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalla Ulega, amesema mazao ya uvuvi yanayosafirishwa kwenda nje ya nchiyanayoingizwa nchini kwa upande wa Tanzania Bara yanalipishwa ushuru stahiki wa Serikali kwa mujibu wa Sheria na Kanuni.

  • TUTAENDELEA KUBORESHA MASHAMBA YA SERIKALI – ULEGA.

    May 26, 2021

    ​Naibu Waziri wa mifugo na uvuvi Mhe. Abdalla Ulega amesema Wizara hiyo ina mkakati wa miaka mitatu (2020/2021 – 2022/2023) ambao umelenga kuendeleza mashamba kwa kuongeza ng’ombe wazazi na kuimarisha huduma za uhimilishaji ili kupata ngombe bora na wenye tija.

  • NAIBU WAZIRI ULEGA ATAKA MAJIBU YA UKOSEFU WA MALIGHAFI KATIKA VIWANDA VYA KUCHAKATA SAMAKI

    May 26, 2021

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (Mb) amewaelekeza viongozi wa viwanda vya kuchakata samaki Mkoani Mwanza kukaa na maafisa kutoka katika wizara hiyo kutafuta suluhu ya ukosefu wa malighafi ya kutosha katika viwanda vyao ili viweze kufanya kazi kwa kadri ambavyo vinatarajiwa.

  • WAUZAJI NA WASAMBAJI NYAVU HARAMU KIKAANGONI

    May 26, 2021

    Serikali imepanga kuweka utaratibu wa kutambua hatua mbalimbali za upatikanaji wa nyavu za uvuvi tangu kutengenezwa kwake hadi kusambazwa na kumfikia mvuvi ili kudhibiti usambaaji wa nyavu zisizohitajika kisheria hapa nchini.

.