Habari

  • ​SILINDE AONGOZA MAPOKEZI YA TANI 25.8 ZA SAMAKI WASIOLENGWA

    August 27, 2023

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde leo Agosti 20, 2023 ameongoza mapokezi ya tani 25.8 ya samaki wasiolengwa au "bycatch" kama inavyojulikana kitaalam ambao wamevuliwa katika ukanda wa bahari kuu.

  • ​UFUGAJI WA SAMAKI CHANZO MBADALA CHA KIPATO KWA WAVUVI - ULEGA

    August 27, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amesema Serikali inaweka msisitizo mkubwa katika ufugaji wa kisasa wa samaki kwa njia ya vizimba ili kuwawezesha wavuvi kuwa na chanzo mbadala cha kipato na kupunguza utegemezi wa shughuli za uvuvi katika maji ya asili.

  • ​ULEGA AMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA

    August 27, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dhamira yake ya dhati ya kuendeleza sekta za uzalishaji za Kilimo, Mifugo na Uvuvi ili ziweze kuwa na manufaa makubwa kwa Wananchi na Taifa kwa ujumla.

  • SERIKALI YAANZA MAANDALIZI YA MAPITIO YA SHERIA NA SERA YA UVUVI

    August 27, 2023

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza maandalizi ya mapitio ya Sheria ya Uvuvi ya mwaka 2003 na Sera ya Uvuvi ya mwaka 2015 ili kuziboresha na kuzifanya na mwelekeo mmoja.

.