Habari

  • MAAFISA UGANI WATAKIWA KUHAMASISHA “GESTI ZA MIFUGO” KATIKA MAENEO YAO

    March 18, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewataka Maafisa Ugani kuhamasisha Gesti za mifugo kwa Wafugaji waliopo katika maeneo yao ikiwa ni moja ya hatua za kuhamasisha ufugaji wa kisasa hapa nchini.

  • ULEGA AWATAKA MAAFISA UGANI KUWA WABUNIFU KUSAIDIA WAFUGAJI

    March 18, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewataka maafisa ugani wa mifugo kote nchini kuwa wabunifu na kuweka mikakati ya kudumu kuhakikisha katika maeneo wanayofanyia kazi wanawasaidia wafugaji kuzalisha malisho kwa ajili ya mifugo yao.

  • ULEGA: MIAKA 3 YA RAIS SAMIA MINADA YA KISASA 51 YAJENGWA

    March 18, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan jumla ya minada ya kisasa 51 imejengwa nchi nzima yenye thamani ya Shilingi Bilioni 17.5.

  • SEKTA YA UVUVI YAPOKEA MAGARI, PIKIPIKI ZA MRADI WA AFDP

    March 12, 2024

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amemwakilisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega mwenye hafla ya kupokea magari 4 na pikipiki 16 zilizotolewa kupitia mradi wa kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) unaofadhiliwa na mfuko wa kimataifa wa kuendeleza kilimo (IFAD).

.