Habari

 • ​USHIRIKA NDIO MKOMBOZI WA WAKULIMA, WAFUGAJI NA WAVUVI-SILINDE

  July 01, 2023

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeelekeza nguvu kubwa kwenye vyama vya ushirika kwa sababu inaamini ndio utakuwa mkombozi kwa wakulima, wafugaji na wavuvi nchini.

 • ​DKT. SAMIA: UCHUMI WA BULUU NI FURSA

  June 27, 2023

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema, uchumi wa buluu ni fursa huku akiwataka wananchi kujipanga na kuweka mazingira muafaka ya uwekezaji ili waweze kunufaika kupitia rasilimali zinazopatikana katika sekta hiyo.

 • SERIKALI YA DKT. SAMIA YAENDELEA KUWAINUA WAVUVI

  June 27, 2023

  Katika hatua za kutekeleza mikakati ya kujenga na kuboresha uwezo wa wavuvi kufanya kazi zao kwa uhakika na kuimarisha usalama wao, Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan imegawa kwa wavuvi vifaa vya kujiokolea ili waepukane na matatizo ya kuzama baharini.

 • ​UTALII WA BAHARI KUNUFAISHA WAVUVI

  June 27, 2023

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema Serikali inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira mazuri kupitia fursa za Utalii wa Bahari ili wavuvi hasa wadogo waweze kunufaika kwa kuuza samaki na mazao yake.

.