Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
BUNGE LARIDHISHWA NA MAANDALIZI KAMPENI YA CHANJO ZA MIFUGO
February 13, 2025Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeridhishwa na kiwango cha maandalizi kuelekea kwenye kampeni ya kitaifa ya Chanjo za Mifugo inayotarajiwa kuanza mapema mwezi Machi 2025.
-
UANDAJI WA MITAALA YA MAFUNZO YA MIFUGO USHIRIKISHE WADAU WA KISEKTA – MHINTE
February 10, 2025Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Abdul Mhinte amesema uandaaji wa mitaala kwaajili ya mafunzo ya mifugo kwa vyuo vya kati ushirikishe wadau wa sekta husika pamoja kuzingatia sera mpya ya elimu na mafunzo mwaka 2014 Toleo la 2023 ili kupata mahitaji halisi yanayohitajika kwenye soko la sasa.
-
UPUMZISHWAJI ZIWA TANGANYIKA UMEONGEZA MALIGHAFI VIWANDANI- DKT. KIJAJI
January 24, 2025Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa zoezi la upumzishwaji wa hiyari wa shughuli za Uvuvi wa Ziwa Tanganyika limechagiza ongezeko kubwa la malighafi za Viwanda vilivyopo kwenye mikoa inayozungukwa na ziwa hilo.
-
DKT. KIJAJI ABAINISHA MATUNDA YA VIWANDA VYA UVUVI ZIWA TANGANYIKA
January 22, 2025Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa uwepo wa Viwanda vya kuchakata mazao ya Uvuvi kwenye mikoa inayozungukwa na Ziwa Tanganyika umekuwa chachu ya Maendeleo ya wananchi wa mikoa hiyo.