Waziri Mpina akizungumza na Wananchi Mkoani Katavi

Imewekwa: Monday 04, November 2019

Wavuvi nendeni mkavue! Wafugaji nendeni mkafuge, Serikali ipo bega kwa bega na ninyi kushughulikia changamoto zenu,” Waziri Mpina amesema hayo katika ziara ya Mh. Raisi Dkt. John Pombe Magufuli leo - Katavi

.