WAZIRI MPINA AKIHUTUBIA MKUTANO WA WAFUGAJI WILAYA YA MEATU - SIMIYU

Imewekwa: Monday 29, July 2019

Waziri mwenye dhamana ya kusimamia Sekta ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akihutubia Mkutano wa Wafugaji Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu nakusema kuwa,“Matatizo ya Wafugaji sasa yamefika mwisho”.

.