WAZIRI MPINA AKABIDHI DAWA ZA KUOGESHA MIFUGO (PARANEX) SIMIYU

Imewekwa: Thursday 20, February 2020

Lengo la kutumia dawa za kuogesha mifugo ni kwa ajili ya kujikinga na magonjwa mbalimbali hasa ugonjwa uenezwao na Kupe.

Waziri Mpina amesema, Serikali ya awamu ya tano, imejipanga kuhakikisha changamoto na mateso ya wafugaji yanapigwa marufuku.

.