PROF. ELISANTE ATEMBELEA KIWANDA CHA KUZALISHA CHANJO CHA HESTER - PWANI

Imewekwa: Thursday 20, February 2020

katika ziara yake Katibu Mkuu Mifugo (kulia) akifafanua jambo kwa wataalam kutoka mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA) alipotembelea Kiwanda cha kuzalisha chanjo za mifugo kinachojulikana kama HESTER kilichopo Wilaya ya Kibaha Vijijini (07.01.2020).

.